Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, July 7, 2016

BONDIA IDD MKWELA KUTOKA KWA 'SUPER D COACH' AJIFUA KUMKABILI HUSSEIN GOBOS JULAI 16 MAGOMENI



Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea kwa 'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa Julai 16 katika ukumbi wa Traveltain  Hotel Magomeni kuzipiga na Hussein Goboss mpambano wa raundi sita KG 63 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea kwa 'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa Julai 16 katika ukumbi wa Traveltain  Hotel Magomeni kuzipiga na Hussein Goboss mpambano wa raundi sita KG 63 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa maumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimnoa bondia Idd Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basketi Uhuru Kariakoo kulia ni bondia Vicent Mbilinyi Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa maumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza  bondia Idd Mkwela jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'UPCUT' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basketi Uhuru Kariakoo kulia ni bondia Vicent Mbilinyi Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa julai 16 kupambana na Hussein Goboss Traveltain Hotel  Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibramu Class wakati wa mazoezi kwa 'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa Julai 16 katika ukumbi wa Traveltain  Hotel Magomeni kuzipiga na Hussein Goboss mpambano wa raundi sita KG 63 Picha na SUPER D BOXING NEWS


Bondia Idd Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibramu Class wakati wa mazoezi kwa 'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo Mkwela anajiandaa na mpambano wake wa Julai 16 katika ukumbi wa Traveltain  Hotel Magomeni kuzipiga na Hussein Goboss mpambano wa raundi sita KG 63 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA chipkizi  Idd Mkwela kutoka kwa  'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo yupo katikamazoezi makali ya kujiandaa kupambana na bondia Hussein Gobbos siku ya julai 16 katika ukumbi wa Traveltain Hotel Magomeni

akizungumza wakati wa mazoezi yake Mkwela amesema kuwa kwa sasa nipo vizuri sana kwa ajili ya mpambano wowote ule kwa kuwa najiamini na ninajitambua sana katika mchezo uhu wa masumbwi nchini na nina uzoefu mkubwa ingawa nina michezo michache niliyocheza nchini

ata hivyo kwa sasa nimerudi kwa kocha wangu ambayetuli asiana kwa kipindi cha takribani miaka mitatu kwa ajili ya maisha ya hapa na pale na sasa nipo na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 

ambapo nafanya mazoezi kwake kwa mda mrefu na tayali kuna kazi nyigi tumeshafanya nae  na nategemea sito mwangusha kwapi pale kwa'Super D Coach Uhuru GYG' Kariakoo

kuna mabondia wengi ambao wanatamba kwa sasa akiwemo Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Vicent Mbilinyi, Lulu Kayage mabondia hawo wamefanya vizuri kupitia Super D ata ukiangalia mapambano yao ya mwanzo mwanzo kutoka nje ya nchi wote wamefanya vizuri

hivyo nimeungana nao na ninatarajia mpambano wangu unaokuja nita msambalatisha viaya Hussein Gobos  ili akanitangaze vizuri kwa wenzie kuwa mimi ni mtu  mbaya katika mchezo wa ngumi nikiwepo uringoni

nae kocha wa Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kwamba bondia wake huyo yupo fiti kukabiliana na bondia yoyote ambao kwa sasa sio bondia huyu aliyejipendekeza kupambana na Mkwela kwani huyo kama vile wamemtoa sadaka atapata kipondo cha mbwa mwizi Mkwela anafikilia kupigana na mabondia wengine kabisa huyu ajawa mawazoni mwake kabisa hivyo pale tuta pita kama njia kuwafata wale mabondia vigogo wakiwemo

Twaha Kiduku,jonas Segu, Mfaume Mfaume, Ramadhani Shauli,Cosmas Cheka

ndio taipu zake huyu kajipendekeza mwenyewe hivyo atakwenda na maji mara moja na atapigwa k,o mbaya sana na sizani kama atafika raundi ya pili katika mchezo wa raundi sita utakaofanyika julai 16 magomeni

No comments :

Post a Comment