Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, September 3, 2011

MAANDALIZI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI IGUNGA

KATIBU wa CCM wilaya ya Igunga, Neema Adamu (aliyesimama) akitoa maoni ya chama chake wakati wawakilishi wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi mdogo jimbo la Igunga, walipokutana kujadili ratiba za kampeni, leo (Sept. 3, 2011), katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora. Kikao hicho kimefanyika chini ya Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo Magayane Protace. (Picha na Bashir Nkoromo)
MSIMAMIZI wa Uchaguzi jimbo la Igunga, Magayane Protace akionyesha ratiba ya awali ya kampeni za vyama vinavyoshiriki uchaguzi mdogo jimbo la Igunga, wakati wa mkitano wake na wawakishi wa vyama kupanga ratiba rasmi leo 3/9/2011 mjini igunga Kushoto ni Naibu Msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo Matha Bayo. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments :

Post a Comment