Kocha wa timu ya Taifa Taifa Stars Jan Paulsen akiongea na wachezaji wa timu hiyo wakati wa mazoezi yao ya mwisho yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo jijini Dar es salaam, kabla ya mchezo wao utakaochezwa kwenye uwanja huo kesho kabla ya Taifa Stars kufanya mazoezi walizana wachezaji wa timu ya taifa ya Algeria.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment