Brewmaster wa kampuni ya bia ya TBL Mr Justino Jekela akitoa maelezo kwa warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakati walipotembelea katika kiwanda hicho Ilala jijini Dar es salaam ili kujionea na kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanyika kiwandani hapo.
Warembo wakiingia katika kiwanda cha TBL wakati walipotembelea kiwandano hapo mchana huu.
Meneja wa kinywaji cha Redds Victoria Kimaro akizungumza na waandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, mara baada ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 kutembelea kiwanda hicho,
No comments :
Post a Comment