Mbunge wa viti maalumu kundi la vijana mkoa wa Mara, Ester Bulaya
akikabidhi jezi na mpira kwa wenyeviti na makatibu wa vijana wa CCM
wilaya ya Butiama kwenye hafra fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Chama
cha Mapinduzi mjini Musoma. (Picha na Berensi Alikadi)
FALIALA MBUTU KUZIKWA JUMATATU DISEMBA 29
-
Mazishi ya mwanamuziki Faliala Mbutu ambaye alikua mume wa mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa dansi Luiza Mbutu yatafanyika Jumatatu tarehe
Desemb...
8 hours ago
No comments :
Post a Comment