Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi
akizungumza na Viongozi pamoja na Vijana wanaoishi katika Nyumba za
kurekebisha
Tabia kwa watu waliokuwa wakitumia dawa za kulevya { Sober
House } hapo Nyarugusu Wilaya ya Magharibi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akimkabidhi
Baskeli Kijana Mlemavu Badri Ameir Issa ambayo itamsaidia katika
harakati zake
za Kimaisha. Msaada huo amekabidhiwa hapo Nyumba ya kurekebishia Tabia
iliyopo
Nyarugusu Shehia ya Pangawe Wilaya ya Magharibi. Kulia
yao ni Mlezi Mkuu wa
Nyumba hizo Bibi Fatma Sukwa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif Ali
Iddi
akimkabidhi vyakula Mshauri Mkuu wa
Nyumba saba za kurekebishia Tabia Unguja na Pemba Bibi
Fatma Sukwa kwa ajili ya kusaidia Vijana wa
nyumba hizo. Wam,wanzo kulia yao ni mlezi wa
Nyumba ya
kurekebishia watu waliotumia dawa za kulevya ya
Mtaa wa Nyarugusu Shehia ya Pangawe Bwana Badru Nassor Ali.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment