Matonya akiimba wimbo wa Vaileth na shabiki.
WASANII Lucas Mkenda 'Mr Nice', Seif Shabani 'Matonya', Ally Mohamed 'Z-Anto',
Bi. Mwanahawa Ally wa East African Melody, Kundi la Ngoma za Asili la
Nakalandima na Kundi la New Zanzibar Stars Modern Taarab usiku wa
kuamkia leo wamefunika vilivyo katika Usiku wa Fleva za Dhahabu
uliofanyika kwenye ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem
jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment