Muigizaji nyota wa Filamu nchini Elizabeth
Michael a.k.a Lulu (17) anaehusishwa na kifo cha Muigizaji
Mwenzie, Marehemu Steven Kanumba, aliye fariki dunia Aprili 7 mwaka huu
nyumbani kwake maeneo ya Vatican Sinza Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika muonekano mpya tokea
amepelekwa lupango. Kwa sasa msanii huyu anaonekana kunenepa wakati kila mtu
anaamini yuko kwenye kipindi kigumu sana pengine kuliko vipindi vyote
katika maisha yake tangu azaliwe. Kingine najiulizaga siku zote ile
mimba ambayo ilikua ikiongelewa sana imepotelea wapi?
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment