Mkurugenzi mkuu wa Lapf Eliud Sanga
pichani katikati akizungumza na vyombo vya habari kuelezea mkutano ulionza leo
wa wanachama wa mfuko huo wa jamii ambapo mkutano huo utafungwa kesho na Rais wa
Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na unafanyika kwenye
ukumbi wa AICC jijini Arusha kwa siku mbili kushoto kwake ni afisa uhusiano wa
mfuko huo Endruw kueyana na kulia ni afisa masoko Mablangeti. (Picha na Mahmoud
Ahmad Arusha)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment