Rais
Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua
rasmi ujenzi wa Daraja la Kigamboni katika hafla iliyofanyika huko
Kurasini jijini Dar es Salaam leo mchana. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dk
John Pombe Magufuli na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk
Ramadhani Dau. NSSF itagharamia asilimia 60 za ujenzi wa daraja hilo na
serikali asilimia 40. (Picha na Freddy Maro)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment