
Leo hii ni siku ya kuzaliwa kwa Rapper Hamisi Mwinjuma (FA), 13/03. siku hizi watu hawawazi nini cha kukuletea kwenye birthday yako, bali wakumwagie nini ikiambatana na ndoo yenye maji..na hicho ndicho kilichokamilisha birhday ya FA...Tunakutakia maisha marefu na burudani tele..Happy birthday

Safi AY, maana nakumbuka mwaka jana birthday yangu, nilibebwa kama mbuzi aliechinjwa na mkanimwagia maji ya baridi, tena ya ndani ya friji kabisa..zamu yako sasa Fa hahahaaa, Happy birthday Bro

Ay akiwa na mshkaji wake wa karibu sana FA na Salama J

hi hi hi hiiiiiii
No comments :
Post a Comment