
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, wa pili kulia akizicharaza
Tumba za bendi
ya Msondo Ngoma, wakati bendi hiyo ilipokuwa ikitoa burudani kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mukendo Musoma mjini
Mkoani Mara jana Machi 5, 2013, wakati Makamu wa Rais Dkt. Bilal,
alipokuwa akiwahutubia wananchi wa mkoa huo. Kushoto ni wanamuziki
Shabani Dede, Hassani Moshi,Zahoro Bangwe na Amri Said ' Dongo'

Waziri
wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, kulia akizicharaza Tumba za bendi
ya Msondo Ngoma. kushoto ni Othumani Kambi, Shabani Dede na Hassani
Moshi picha
Kwa hisani ya Sufianimafoto blog.
No comments :
Post a Comment