Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, March 20, 2013

TUZO ZA KILIMANJARO MUZIC AWARDS ZAZINDULIWA


  Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas akibadilishana hati na Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mungereza baada ya kusainiwa kwa mkataba wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager kudhamini tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards kwa miaka mingine mitano mpaka 2018 sambamba na uzinduzi wa tuzo hizo kwa mwaka 2013 huku viongozi wengine wa TBL na BASATA wakipiga makofi. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es salaam leo.

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas (wa tatu kulia), Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mungereza (wa tatu kushoto), Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (wa pili kulia) pamoja na Maofisa wa TBL na BASATA wakifurahia jambo mara baada ya uzinduzi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam jana.  (Picha kwa hisani ya Executive Solutions)

No comments :

Post a Comment