Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Serikali ya Uingereza
anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mark Simmonds (kulia kwake)
aliyeongozana na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia masuala ya
Afrika, Mark Simmonds (kushoto) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
No comments :
Post a Comment