Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyepumzishwa katika chumba cha dharura
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.Mzee Kingunge alikimbizwa
Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya.jopo la madaktari bingwa
linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunga ili kubaini ugonjwa unaomsumbua.
Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa
Mzee Kingunge Bwana Kinjekitile. (Picha na Freddy Maro)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment