Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, July 1, 2013

HII NI INTERVIEW YA KWANZA YA MSANII LULU TANGU ATOKE JELA



Lulu akiwa na Zamaradi

Hottest actress in Swahili movie industry Elizabeth Michael(Lulu) amefanya interview yake rasmi ya kwanza na Zamaradi Mketema wa Clouds Tv ikiwa ni takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa sasa tangu muigizaji huyo alipopata misukosuko ya kupelekwa segerea na baadaye kutoka kwa dhamana.

Katika interview hiyo inayotegemewa kurushwa hivi karibuni inaelekea muigizaji huyo atazungumzia maisha yake ya segerea na mipango yake ya kuliendeleza libeneke la filamu kama kawaida na mambo mengineyo

"kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!! hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks Zamaradi..." aliandika Lulu katika mtandao mmoja wa kijamii.

Hata hivyo licha ya muigizaji huyo kukaa zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa bila interview yoyote au kuigiza filamu mpya lakini bado mara kwa mara habari na picha zake zimekuwa zikipamba blogs na magazeti. huku watayarishaji wengi wakitaka kufanya nae kazi.

No comments :

Post a Comment