DVD YA MPAMBANO MKALI ULIOWAKUTANISHA BONDIA FELIX TRINIDAD VS ROY JONES JR MPAMBANO HUU UTANGALIA URUDIA NA KURUDIA TENA KWA WAPENZI WA MCHEZO HUU KWANI WOTE WAMEKUTANA MAFUNDI WA UJUZI WA MCHEZO WA MASUMBWI ZAIDI TEMBELEA BLOG YA SUPER D Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akitoa maelekezo kwa mashabiki wa ngumi jinsi DVD zake zilizo na mafunzo ya mchezo huo kwa mashabiki kujua sheria na kanuni za mchezo huo ZAIDI TEMBELEA BLOG YA SUPER D
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment