
Baadhi ya viongozi wa dini
mbalimbali na serikali wa Lindi wakishiriki katika futari rasmi
ilyoandaliwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete katika makazi yake mjini
Lindi tarehe 25.7.2013.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiongea na viongozi wa dini mbalimbali wa Lindi baada ya kuwaandalia
futari nyumbani kwake hapo mjini Lindi tarehe 25.7.2013


Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiaagana na baadhi ya akina mama
walioshiriki futari aliyowaandalia nyumbani kwake mjini Lindi tarehe
25.7.2013. Picha na John Lukuwi
No comments :
Post a Comment