Bondia
Francis Miyeyusho (kushoto) akiwa katika mazoezi kwenye Gym ya Lazima
Ukae, iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa
na mchezo wake wa kirafiki na Bondia Shadrack Muchanje kutoka nchini
Kenya. Mabondia hao watapanda ulingoni kuonyeshana umwamba siku ya
Tamasha la Matumaini litakalofanyika siku ya Jumapili ya Julai 7, kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambalo litakuwa ni la raundi
sita. Miyeyusho yeye amecheza mapambano 38 huku mpinzani wake, akiwa
amecheza mapambano 14 hadi sasa.
Panchi zikiendelea.....
Miyeyusho akipozi......
Panchi zikiendela...Lazima akae siku hiyo.....
No comments :
Post a Comment