| Baadhi ya vijana wanaofanya shughuli zao kando kando ya barabara ya Uhuru Dar es salaam eneo la Malapa wakicheza mchezo wa bao mchezo huo uliopata umaarufu mkubwa miaka ya nyuma ulikuwa ukuchezwa na wazee pekee rakini kwa sasa vijana wamekuwa wakiufatilia na kuucheza kwa ustad mkubwa kushoto ni Jagani Ndizi na Omari Kijungujiko PICHA NA BLOG YA SUPER D |
HII NDIO LAETOLI
-
Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro ikiongozwa na
makamu Mwenyekiti Dkt. Harriet Mtae jana tarehe 11 julai, 2026 imekagua
ubores...
1 day ago
No comments :
Post a Comment