Miili ya askari wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, askari hao
walikuwa wakilinda Aman Darfur Sudan. Miili hiyo itaagwa kwa heshima
zote siku ya Jumatatu Julai 22 Makao Mkuu ya Wizara ya Ulinzi Upanga
jijini Dar es Salaam.

No comments :
Post a Comment