Mabondia Ibrahimu Tamba kushoto na Said Mbelwa wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kuzipiga march 26 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam katikati ni promota Jaffari Kitemo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota
Jaffari Kitemo 'katikati' akiwainua mikono juu mabondia Ibrahimu Tamba
kushoto na Said Mbelwa wakati wa utambulisho wa mpambano wao jana
utakaofanyika march 26 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es
salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu MABONDIA Ibrahimu Tamba na Said Mbelwa jana wamesaini mkataba wa kuzipiga march 26 katika ukumbi wa Frends corner manzese Dar es salaam mpambano uho wa raund nane kg 76 umeratibiwa na Jaffari Kitemo akizungumza mara baada ya kutiliana saini mikataba ya kuzipiga Kitemo amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya utangulizi ukiondoa pambano hili na tumeandaa mpambano uhu kwa ajili ya kuondoa ubishi wa nani zaidi mana kila mmoja anatamba mtaani kuwa yeye ni zaidi ya mwenzie sasa jibu tutalipata march 26 pale manzese nae bondia Mbelwa amesema kuwa kawaida yake ni kugawa dozi kwa kumpatia kipigo kitakatifu Tamba akijibu majigambo hayo Tamba amesema mkuwa yeye ana makuu huvyo atakikisha anafanya mazoezi ya kutosha kwa ajili ya kumpiga Mbelwa kwani ngumi ni ngumi tu
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo mpya
za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd
mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd
Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
|
No comments :
Post a Comment