Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, February 12, 2016

MASHINDANO YA NGUMI YA TAIFA YAMALIZIKA LEO TANGANYIKA PACKERS

Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya lambilambi ya marehemu Mohamed Chibumbuli kilichotokea jana Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Masasi kushoto ni katibu Mkuu wa shirikisho hilo Makole Mashaga Picha na SUPER D BOXING NEWS
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga kushoto akipeana mkono na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kumkabidhi fedha za lambilambi zilizotolewa na wadau mbalimbali wakati wa mashindano ya ngumi ya taifa yaliyofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Selemani Kidunda kushoto akimshambulia Mstafa Mtoro wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam Kidunda alishinda kwa K.O ya raundi ya kwanza Picha na SUPER D BOXING NEWS

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto akipambana na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakirushiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakinyoshwa mikono juu baada ya mpambano wao wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba
Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA'
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu bondia Leonard Machichi wakati wa mashindano ya taifa
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu kwa bondia Zulfa Macho kulia ni bondia Halima Ramadhani wa pili kushoto ni
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga
Bondia Ismail Gaitano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwalami Salum wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Gaitano alishinda mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments :

Post a Comment