BAADA ya majigambo makari ya hapa na pale mabondia sasa kupigana kesho katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mkoa wa Pwani
akizungumza wakati wa kutambulisha mpambnano uho ambao umevuta hisia nyingi za mashabiki wa mchezo wa masumbwi nchini Promota Muhsini Sharifu amesema kuwa maandalizi ya mpambanio uho umekamilika na mashabiki waje kwa wingi kuangalia mpambano uho siku ya march 5 bagamoyo
aliwataja mabondia Idi Pialali kg 66 wa Kiwangwa Bagamoyo Mkoa wa Pwani atapambana na Seba Temba wa Morogoro na bondia anaekuja kwa kasi ya ajabu hapa nchini bondia Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe Mfalme wa wazalamu' atapambana na Geoger Dimoso mpambano wa raundi sita uzito wa kg 76 wakati Fabian Limo kg 69 atakumbana na Mwaite Juma na Said Mbelwa 'Moto wa Gesi' kg 72 ataambana na Shabani Kaoneka na Adam Yahaya kg 54 atamkabili Selemani Bangaiza
Joyce Awino kg 64 na Mariam Tembo na bondia kutoka mkoa wa Tanga Jacobo Mganga kg 72 atapambana na Maono Ally
Katika mpambano uho siku hiyo kutakuwa na huzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria za mchezi huo zikiwa na mabondia wakali akiwemo
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
No comments :
Post a Comment