Mbondia Iddi Mnyeke kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Kashinde baadas ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classc Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia
Joseph Sinkala wa mbeya kushoto na Ibrahim Maokola wakiwa wameshikilia
mkanda wa ubingwa wa Taifa watakao ugombania kesho katika ukumbi wa
Vigae Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Joseph Sinkala wa mbeya kushoto na Ibrahim Maokola wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya kugombania mkanda wa ubingwa wa Taifa watakao ugombania kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Maokola 'Simba wa Mbagala' akiojiwa na waandishi wa habari |
Bondia Josephe Sinkala akiojiwa na waandishi wa habari
RAIS WA TPBC CHAULEMBO PALASA AKIONGEA NA WAHANDISHI WA HABARI
SIKLA VS MAOKOLA
Bondia Iddi Mnyeke akipima uzito kwa
ajili ya mpambano wake na Mohamed Kashinde kulia mpambanmo utakaofanyika
kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia
Mohamed Kashinde akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Iddi
Mnyeke kulia mpambanmo utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae
Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Karage Suba bada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Karage Suba bada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Karage Suba bada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Ibrahimu Maokola wa Dar es
salaam na Joseph Sinkala wa Mbeya wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa march 12 mpambano wa
kugombania ubingwa wa taifa wa kg 72 utakaopigwa katika ukumbi wa Vigae
Classc uliopo Mbagala Zakhem jijini
Mpambano uho wa raundi kumi za ubingwa
wa TPBC unaoshikiliwa na Maokola umeandaliwa kwa ajii ya kutetea mkanda
wake akiongea mpambano uho
akizungumza baada ya upimaji uzito Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa amesema mpambano uho umeandaliwa kwa ajili ya kuendeleza mchezo wa masumbwi nchini
mbali na mpambao uho siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine ya ngumi yatakayo wakutasnisha mabondia mbalimbali
Bondia Iddi Mnyeke
atakumbana na Mohamedi Kshinde na Karage Suba atavaana na Pius Kazaula
wakati Selemani Galile ataoneshana umwamba na Ambokile Chusa
Katika mpambano
uho kutakuwa na uhuzwaji wa vifaa vya mchezo wa ngumi pamoja na DVD za
mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa ajili ya kutambua sheria mbalimbali za
mchezo zitakazokuwa zikitolewa bule kwa mabondia watakaofanya vizuri
siku hiyo na vingine kuuzwa kwa galama nafuu
No comments :
Post a Comment