Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00
TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Saturday, July 2, 2011
MISS TEMEKE WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VODACOM
Meneja wa duka la Vodacom la Mlimani city Fatuma Kalyanye akiwaonyesha baadhi ya warembo wanaoshiriki katika kinyanganyiro cha miss Temeke baadhi ya bidhaa zinazouzwa katika duka hilo,Warembo wa kitongoji hicho walitembelea ofisi za Vodacom Tanzania kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na wadhamini wakuu wa shindano hilo,wengine kushoto ni wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mtunza nyaraka muhimu za wateja wa Vodacom Tanzania James Oswin akiwaelekeza baadhi ya warembo wa kitongoji cha Temeke namna ya kujaza fomu za kujiunga na huduma ya m pesa warembo hao walitembelea ofisi za Vodacom Tanzania ambao ndiyo wadhamini wakuu wa shindano hilo kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali hapo jana.
Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto akiwaongoza baadhi ya washiriki wa MissTemeke walipofika kutembelea makao makuu ya kampuni ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani city kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na kampuni hiyo,Vodacom ndiyo wadhamini wakuu wa shindano la Miss Temeke litakalofanyika hivi karibuni.
Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa,akiongea na baadhi ya washiriki wa Miss Temeke walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania hapo jana kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali katika kampuni hiyo wakiwa ni wadhamini wakuu wa shindano la Miss Temeke litakalofanyika hivi karibuni.
Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938
KAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH
SUPER D BOXING COACH DVD MPYA
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH SASA ZIPO SOKONI
DVD MPYA ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU
0787 0774 0754 4O6938 0713 0733 AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM AU FIKA JENGO LA AZAM MSIMBAZI KARIBU NA POLISI POST GEREZANI p.o.box 15493 DAR Email.superdboxingcoach@gmail.com http://www.facebook.com/groups
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
SPORTSVIEWS
Visitors
Viwanjani time
DAWA YA NGUVU
TANGAZO
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
No comments :
Post a Comment