Dr Emad Rabee Ahmad Mohamed kutoka chuo cha kiislam Egypt akisoma wakati wa alobaini ya kumuombea aliyekuwa mtabiri wa Afrika Mashariki Sheikh Yahaya Hussein kushoto ni Dr Ahmad Mahmood Abdellateef wa tatu kutoka kulia ni Mwenyekiti wa ISTIQAAMA MUSLIM COMMUNITY NCHINI Saleh Omar Saleh,Usamah Mahmood Ismail na Motamed Gomaa Mursiy
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment