Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, January 10, 2012

BALAZA LA MITIHANI LA TANZANIA YAZINDUA HUDUMA YA KULIPIA ADA KWA MASHINE ZA SELCOM



Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma yakulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na
Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.9Picha na Mpiga Picha Wetu)
--
Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam janaziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea 9kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.9Picha na Mpiga Picha Wetu)

No comments :

Post a Comment