Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh. Bi. Vick Kamata yuko Geita kwa wananchi wake kama anavyoonekana pichani akikabidhi baiskeli kwa walemavu 30 wa tarafa ya Bugando wilaya ya Geita mkoa mpya wa Geita. Hizi ni moja ya juhudi za mbunge huyo kwa wananchi wake katika kusaidia kuondoa matatizo yanayowakabili watu wenye ulemavu wa viungo ambao wamekuwa wakikabiliwa na matatizo mengi ukiwemo usafiri kama hizi baiskeli zitakazowasaidia kwenda hapa na pale na kuendelea na shughuli zao. Hapa anaonekana akifurahia jambo na mmojwa wa walemavu waliokabidhiwa baiskeli hizo na mbunge huyo.
NGORONGORO NI NYUMBANI KWA KILA BINADAMU - KAMISHNA BADRU.
-
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Bw.
Abdul-Razaq Badru leo tarehe 9 Aprili, 2026 amepuliza rasmi Kipenga cha
shindano la ...
15 hours ago
No comments :
Post a Comment