Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umwagiliaji Maji na Mazingira huko kianga Wilaya ya Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment