
Dr. Masele Lucas akizungumza leo

Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhhimbili wakiwa katika mkutano na viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam leo baada ya kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja

Dr. Flank Kagolo akimwaga cheche zake

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili Dkt. Mariana Njelekelo (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi wa Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja katika hospitari hiyo ambao waligoma baada ya kukosa mshahara wa mwenzi mmoja Dar es salaam leo

Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wanaofanya Kazi kwa Mafunzo kwa mkataba wa mwaka mmoja hospitari ya Taifa Muhhimbili wakiwa katika mkutano na viongozi wa Wizara ya Afya na hospitali hiyo Dar es salaam jana baada ya kugoma kwa kutolipwa posho zao kwa mda wa mwezi mmoja
No comments :
Post a Comment