Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, January 12, 2012

Chaz Baba arejea jijini Dar



Mwanamuziki mpya wa Bendi ya Mashujaa,Charles Gabriel a.k.a Chaz Baba akiwasilli kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jana jioni akitokea nchini Dubai alikokuwa amekwenda kwa mapumziko mafupi baada ya kuikacha Bendi yake ya awali ya African Stars (Twanga Pepeta).
Charles Baba akiwa ameshikilia maua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere jioni ya leo tayari kwa kujiunga na bendi yake mpya ya Mashujaa.
Charles Baba akikabidhiwa uwa na mmoja wa vimwana wa karibu wa bendi ya Mashujaa leo kwenye uwanja wa ndege wa Mawlimu J.K.Nyerere

No comments :

Post a Comment