Meneja wa
huduma kwa wateja wa benki ya NMB tawi la Same , Anna Efrem (kushoto) akikabidhi
zawadi kwa mwanafunzi Omari Silayo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa
wanafunzi wa shule ya msingi Majengo iliyopo wilayani Same,kujibu maswali vizuri juu ya ufahamu wa
masuala ya kibenki kuhusu mpango wa NMB Financial Fitness uliozinduliwa na
benki hiyo kwa watoto wilayani humo.PICHA NA GLADNESS MUSHI,
WAANDISHI 3,357 WAPATA ITHIBATI KUPITIA MFUMO WA TAI HABARI
-
Serikali imeanza kuvuna matokeo ya mageuzi ya kidijitali katika sekta ya
habari baada ya Waandishi wa Habari 3,357 kuthibitishwa na kupatiwa
ithibati nda...
3 days ago

No comments :
Post a Comment