Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano la tatu la Jukwaa
la Uhusiano wa China na Bara la Afrika katika kuondoa umaskini katika
hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam leo July 28, 2012.
Wa tatu toka kushoto ni Waziri wa China anayeshughulikia Umaskini
Mhe Fan Xiaojian, wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya rais Mhe
Steven Wassira, wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Maendeleo
ya Uchumi wa Sierra Leone Mhe Momodu Kargbo, kushoto ni Katibu Mtendaji
wa Tume ya Mipango Mipango Dkt Philip Mpango na kulia kabisa ni Balozi
wa China hapa nchini Mhe L.V. Youqing.
PICHA NA IKULU
|
No comments :
Post a Comment