Rais
Jakaya Kikwete pamoja na Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya,
Andris Piebalgs wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa
uzinduzi wa MRADI WA MAJI SAFI na usafi wa mazingira katika eneo la
Swaya mjni Mbeya. (Picha na Freddy Maro).
NITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAWEKEZAJI:RC NYONGO
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, amesema ataendelea
kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji ili kukuza uwekezaji na uchumi wa
Mkoa wa...
2 weeks ago
No comments :
Post a Comment