| Mkubwa hali vipi? Hebu nitolee kwenye blog yako picha ya huyu Mbu wa Ajabu ambaye nimemkuta leo ndani kwangu. Ana features zote za Mbu ila mabawa yake na rangi imenistua kidogo. Naomba uniwekee kwenye blogs ili wadau watuhabarishe huyu ni mbu wa jamii gani na analeta madhara gani kwa jamii au siyo mbu ni mdudu tuu? Utaniwia radhi Quality ya picha inaweza kuwa siyo nzuri sana kwa sababu nimetumia simu yangu ya mkononi. |
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
...
16 hours ago
No comments :
Post a Comment