![]() |
| Waziri wa Miundmbinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (CUF) Hamad Masoud, amejiuzulu kufuatia ajali ya boti ya MV Skagit, iliyotokea zanzibar hivi karibuni na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ameridhiakujiuzulu kwa Waziri huyo na amemteua Rashid Seif Selemani (Ziwani CUF) kushika nafasi hiyo. Huku makamo wapili wa Rais wa Serikali hiyo Balozi Seif Ally Iddi akisema uamuzi wakujiuzulu Hamad ni wake binafsi. |
TAMASHA LA PASAKA LARUDI KWA KISHINDO 2026
-
Tamasha la Pasaka, linaloandaliwa na kuratibiwa na Msama Promotions,
limeendelea kuwa tukio muhimu la muziki wa Injili nchini Tanzania. Kwa
msimu huu, ...
10 hours ago

No comments :
Post a Comment