Katibu
wa Mbogwe Group, Shukuru Mihayo, (Kushoto), akimkabidhi vifaa vya
michezo, Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Musa Mtulya, vikiwa ni maalumu
kwa ajili ya timu ya watoto ya soka ya Mbogwe, ikiwa ni moja ya juhudi
za kukuza vipaji vya watoto, katika hafla iliuofanyika Mbogwe Pub,
Kurasini jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni
Chichi Somboko, Kocha wa timu hiyo, Doto Ramadhani na Christopher Nathaniel ambaye ni Katibu wa Temeke Jogging.
NITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAWEKEZAJI:RC NYONGO
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, amesema ataendelea
kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji ili kukuza uwekezaji na uchumi wa
Mkoa wa...
2 weeks ago
No comments :
Post a Comment