Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na ujumbe wa Uongozi wa Chama cha Wanasheria Zanzibar
(ZLS) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ukiongozwa na Rais wa Jumuiya
hiyo Awadh Ali Said,(wa pili kushoto).Picha na Ramadhan Othman,ORZ.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Kiongozi wa Mabalozi waliopo Tanzania,pia Balozi wa
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo JUma Alfani Mpango,(katikati) na Balozi
wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu(UAE) pia Kiongozi wa Mabalozi wa
Nchi za Kiarabu nchini Tanzania,Mallalla Mubarak Suweid El-Amri,
walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo.
NITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAWEKEZAJI:RC NYONGO
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, amesema ataendelea
kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji ili kukuza uwekezaji na uchumi wa
Mkoa wa...
2 weeks ago


No comments :
Post a Comment