Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris
Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya nchini Cerian Philberto
Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes na Waziri wa
Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikata utepe kuzindua rasmi mradi wa maji safi
na mazingira Mjini Mbeya leo mchana.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo
Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(Watau kushoto) na Waziri wa Maji Profesa
JumANNE Maghembe wakikagua chanzo cha
maji eneo la Swaya mjini Mbeya wakati wa uzinduzi wa mradi maji safi na mazingira
mjni humo leo mchana.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment