Washiriki
wa warsha ya wapiga picha kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa EAC
anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa Dkt. Julius Rotich (aliyeketi wa
pili kushoto) jijini Arusha jana. Kushoto kwake ni Kaimu mkuu wa mpango
wa EAC-GIZ (kulia) ni Mkuu wa Idara ya Habari EAC Owora Othieno. Kulia
kabisa aliyesimama ni mratibu wa mafunzo wa EAC Sukhdev Chhatbar.
TAMASHA LA PASAKA LARUDI KWA KISHINDO 2026
-
Tamasha la Pasaka, linaloandaliwa na kuratibiwa na Msama Promotions,
limeendelea kuwa tukio muhimu la muziki wa Injili nchini Tanzania. Kwa
msimu huu, ...
10 hours ago

No comments :
Post a Comment