Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
aliyemaliza muda wake, Asha-Rosre Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kushukuru baada ya
kumaliza muda wake wa kazi katika Shirika hilo la Kimataifa UN.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
1 hour ago
No comments :
Post a Comment