Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi hanga la Precisionair katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere leo asubuhi.Kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dkt.Harrison
Mwakyembe na kulia ni mwanzilishi na Mwenyekiti wa Precision air Bwana
Michael Shirima.
NITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAWEKEZAJI:RC NYONGO
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, amesema ataendelea
kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji ili kukuza uwekezaji na uchumi wa
Mkoa wa...
2 weeks ago



No comments :
Post a Comment