Mwalimu
wa Shule ya Msingi Mnazi Mmoja, Salma Mtili akisahihisha daftari
la mwanafunzi wa darasa la nne wa shule hiyo, licha ya Rais wa Chama cha
Walimu Tanzaniza (CWT), kutangaza mgomo wa walimu nchi nzima. (Picha
zote na Mseto Blog)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment