|
Sheikh
Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia
akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana
futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa
waislamu kwa ajili ya kuiunga mkono |
|
Sheikh
Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia
akiomba duwa baada ya kufutulu na waislam wenzake Dar es salaam jana
futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa
waislamu kwa kuiunga mkono |
|
Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza
kulia akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana
futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu
kwa waislamu kwa na kuiunga mkono |
Baazi ya waumini wa kiislamu wakiomba
Duwa baada ya kumaliza kufuturu wakati wa kuitambulisha Sheikh Mkuu wa
chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam
No comments :
Post a Comment