BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini ya Msondo Music imemludisha kundini mwimbaji wake maili, Huseni Jumbe 'Mzee wa Dodo' baada ya kukaa nje ya bendi hiyo kwa mwaka mzima
Akizungumza Dar es Salaam, Msemaji wa kundi hilo, Rajabu Mhamila 'Super D'
Alisema, wameamua kumrudisha kundini mwimbaji huyo baada ya kukaa viongozi na kukubariana nae na sasa ameshaanza kupanda katika jukwaa la bendi hiyo ambapo mpaka sasa tunajipanga kutoa nyimbo mpya za mwaka uhu baada ya mwaka jana kutambulisha albamu yetu ya huna shukrani na kuwa ipo mtaani kwa sasa inauzwa,
Alisema, sambamba na burudani hizo pia wamejipanga kutoa nyimbo mpya kila baada ya wiki tatu ili kukamilisha albamu ya mwaka uhu mapema kadri iwezekanavyo alisema Mhamila,
Akitoa wito kwa wapenzi wa bendi hiyo kuhudhulia kuona maonesho yao popote yafanyikapo kwani kuna burudani ambazo azihitaji kuadithiwa
No comments :
Post a Comment