Mwenyekiti wa Timu ya Bunge sports Club.Joel Bendera kushoto akipokea vifaa vya michezo, vyenye thamani ya shilingi M. 5.5 Dar es Salaam kutoka kwa Meneja mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya bia Serengeti (SBL),Bi.Teddy Mapunda.Anayeshuhudia kulia ni Meneja bidhaa wa kampuni hiyo, Nandi Mwiyobella.(Rajabu Mhamila
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bunge Sport Club vyenye thamani ya Shilingi Milioni tano nukta tano kwa ajili ya ushiriki wao wa mashindano ya kombe la Mapinduzi yanayoendelea Visiwani Zanzibar.Kikosi cha wabunge kimeondoka Alhamisi asubuhi kuelekea Zanzibar ikiwa na jumla ya wachezaji 25 tayari kwa mchezo wao Jan 12 Pemba
Akizungumza na Waandishi wa habari Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Joel Nkaya Bendera amesema kwamba wamejiandaa vizuri katika mchezo huo na watashinda.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment