
RAIS JAKAYA KIKWETE AMETANGZA RASMI LEO KUHUSU KIFO CHA SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA MAPEMA ASUBUHI IKULU, JIJINI DAR. RAIS JK AMETANGAZA PIA SIKU SABA ZA MAOMBOLEZO KITAIFA AMBAPO BENDERA ZITAPEPEA NUSU MLINGOTI NCHI NZIMA. MAANDALIZI YA MAZIKO YANAENDELEA NA JK KAOMBA SUBIRA NA ITATANGAZWA WAKATI WOWOTE MAMBO YAKISHAKAMILIKA.MZEE KAWAWA AMEFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 80.

MZEE KAWAWA ALIKUWA MPENZI MKUBWA WA MICHEZO. HAPA AKIWA REFA KATIKA MCHEZO WA WABUNGE NA MAWAZIRI ENZI HIZO

MZEE KAWAWA AKIWA NA TAIFA STARS

MZEE KAWAWA ENZI ZA UHAI WAKE ALIPOTEMBELEA UWANJA MPYA WA TAIFA
No comments :
Post a Comment