Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, December 6, 2009

BUSINESS TIMES LIMITED MABINGWA BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezi (TASWA) Tomm Chilala (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ushindi wa jumla Muhariri wa Michezo wa Gazeti hili, Selemani Mbuguni, Dar es salaam juzi katika michezo iliyowakutanisha vyombo mbalimbali vya habari nchini.(Picha nas Rajabu Mhamila)Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni mbalimbali za vyombo vya habari, wakiburudika na burudani za msondo ngoma zilizokuwa zikitolewa wakati wa michezo mbalimbali ilioyowakutanisha waandishi wa habari jana.(Picha na Rajabu Mhamila)Waimbaji wa bendi ya Msondo music band wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika Dar es salaam jana w kushoto ni Eddo Sanga na Isihaka Kitima 'DJ Papaupanga'(Picha na Rajabu Mhamila)Wanamuziki wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa michezo mbalimbali ilioyowakutanisha waandishi wa habari jana kushoto ni Roman Mn'gande Romario na Hamisi Mnyupe.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments :

Post a Comment