
Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tamzania Leodegar Tenga, akiwa amekishika kifimbo cha Malkia, Dar es salaam wakati wa kukimbiza kifimbo hicho kutoka uwanja wa Uhuru kuelekea Ikulu.(Picha na Rajabu Mhamila)

Hapa Raisi wa TFF Leodga Chilla ameanza kutimu mbio na Kifimbo.

Maafande wa Jeshi la Polisi nao hawakuwa nyuma, wanakumbushia mchakamchaka wa Depo

Wasanii wa bendi ya Afrikan stars 'Twanga pepeta' wakiwajibika wakati wa sherehe za kukimbiza kifimbo cha malkia kuelekea Ikulu Dar se salaam jana.(Picha na Rajabu Mhamila)
No comments :
Post a Comment